Skip to content

Tukio la Get Together

Get Together ni tukio linalowakutanisha Wanasadaka kutoka sehemu mbalimbali ili kukaa pamoja, kufahamiana zaidi, kuimarisha urafiki, upendo na mshikamano ndani ya familia ya Sadaka Yetu. Ni fursa ya kipekee ya kujenga mahusiano bora, kubadilishana mawazo…