Skip to content

SADAKA YETU KWA AJILI YA WENGINE

Sadaka Yetu inaunganisha Wanasadaka kutoka maeneo mbalimbali  kuwatembelea wagonjwa, kubeba mahitaji ya wanaohitaji, na kujenga umoja unaovuka mikoa.

Sadaka inayoonekana, upendo unaotendeka.

Kupitia kanda zetu  Dar es Salaam & Pwani, Kaskazini, na maeneo mengine  tunasimama karibu na jamii kwa vitendo halisi.

Kuwatembelea Wagonjwa

Wanasadaka huwatembelea wagonjwa mahospitalini kama vile Ocean Road Cancer Institute kuwapa faraja na kuwa nao karibu.

Kupeleka Mahitaji

Tunawapelekea wagonjwa mahitaji muhimu chakula, vifaa na msaada wa moja kwa moja unaowagusa papo hapo.

Msaada wa Kulipa Bili

Tunatoa msaada kwa wagonjwa walioshindwa kulipa gharama zao za matibabu hospitalini.

Kuwa Karibu Nyakati za Msiba

Sadaka Yetu husimama pamoja na familia zinazopitia msiba, kutoa faraja na mshikamano katika nyakati ngumu.

Nyakati za kweli, matendo ya kweli.

Baadhi ya picha kutoka kwenye matukio na shughuli za Sadaka Yetu  kutoka hospitalini hadi kwenye Get Together zetu.

SAFU YA UONGOZI

Samson Charles

Mwenyekiti

Teresa Patel

Makamu Mwenyekiti

Dk. Ezra Chommete

Mlezi

Praygod Mwanga

Katibu

Hilda Minja

Mweka Hazina

Japhet Ishengoma

Mwanasheria

Emmanuel Pantaleo

Afisa Habari

Norah

Kiongozi - Morogoro

WASIFU

Kiongozi

Makala na Matukio

Habari na Taarifa mbalimbali za matukio 

Tukio la Get Together

Get Together ni tukio linalowakutanisha Wanasadaka kutoka sehemu mbalimbali ili kukaa pamoja, kufahamiana zaidi, kuimarisha urafiki, upendo na mshikamano ndani ya familia ya Sadaka Yetu....

Soma Zaidi>>