Skip to content

KUHUSU SISI

Karibu sana kujiunga na Taasisi ya Sadaka Yetu.

Hii ni familia inayounganisha watu kutoka maeneo mbalimbali kwa lengo la kujenga upendo, mshikamano, kusaidiana na kushiriki katika shughuli za kijamii zenye manufaa kwa jamii. Jiunge nasi leo, uwe sehemu ya familia inayojali, inayoshirikiana na inayogusa maisha ya wengi kupitia matendo ya upendo na utu.