Kwa furaha kubwa na shukrani kwa Mungu, tunapenda kuwajulisha kuwa mwanasadaka mwenzetu, Padre Erasto Lekule, amepata Daraja Takatifu la Upadre.
Taasisi ya Sadaka Yetu inampongeza kwa dhati kwa hatua hii muhimu katika wito wake wa kumtumikia Mungu na Kanisa. Tunakuombea afya njema, hekima, neema na nguvu za kiroho ili uweze kulitumikia Kanisa kwa uaminifu, upendo na unyenyekevu. Hongera sana Padre Erasto Lekule!
Tunakutakia kila la heri katika utume wako mpya. Mungu akuongoze na kukubariki daima.Kwa furaha kubwa na shukrani kwa Mungu, tunapenda kuwajulisha kuwa mwanasadaka mwenzetu, Padre Erasto Lekule, amepata Daraja Takatifu la Upadre. Taasisi ya Sadaka Yetu inampongeza kwa dhati kwa hatua hii muhimu katika wito wake wa kumtumikia Mungu na Kanisa.
Tunakuombea afya njema, hekima, neema na nguvu za kiroho ili uweze kulitumikia Kanisa kwa uaminifu, upendo na unyenyekevu. Hongera sana Padre Erasto Lekule! Tunakutakia kila la heri katika utume wako mpya. Mungu akuongoze na kukubariki daima.
